Tuna uza maziwa fresh na mgando
ChiefCampsite tunapatikana kwasadala hai kijiji cha mbatakero. Maziwa yetu hayana kemikali. Tuna zalishwa lita 50 kwa siku. Tunasafirisha kuleta Moshi mjini kwa nauli yako. Karibuni sana kwa kuweka oda. Read More
Nauza samaki wabichi na wana viungo ndani yake
Samaki wabichi sato,sangara,na kambale unapata Kilo 7500/= Nusu 4000/= Robo 2000/= Vipande 1000 /= Tunapatikana MBAUDA,ARUSHA-TANZANIA No.0688945430/0765531658 Karibu sana Read More
Nauza iliki
Iliki zetu ni nzuri wakulima wanalima kilimo hai Tupo Kilimanjaro Moshi mjini Tutavuna Mwezi Wa Kwanza na wapili Read More
Mchele kutoka Morogolo
Karibu kwa mahitaji yako ya mchele mzuri kutoka Morogolo Tunauza jumla na rejareja(rejareja kwa watu wa morogolo). Read More
Nauza Vitunguu Saumu kwa kilo
Nauza vitunguu Saumu kwa kilo kwa bei Poa kabisa, Karibuni sana wateja nauza mikoa yote kwa uaminifu mkubwa. Read More
Nauza Mpunga
Nauza Mpunga kwa gunia huko Ushirombo Wilaya ya Mbongwe Mkoani Geita Read More
Nauza Maharage ya soya kwa kilo
Nauza Maharage Kwa bei poa Kabisa, Kila kilo 1 ni sh. 3,000/= .. Wahi sasa kupata ofa ya Pasaka Read More