Fursa YPARD Tanzania
Kama wewe ni kijana mwenye umri chini ya miaka 40 na ni mtaalamu wa kilimo au hujasomea kilimo ila unaamini kilimo ni ajira na unahisi unaweza kuwa na mchango mkubwa kwenye sekta ya kilimo, hasa kufanya vijana wenzako wapende kilimo. Naomba ujiunge na YPARD kwa kubonyeza hiyo link hapo juu na kisha fuata maelekezo. Baada […] Read More
KILIMO BORA NYANYA
KILIMO CHA NYANYAUTANGULIZINyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani. Kwa Tanzania, nyanya ni zao la kwanza katika mazao ya mboga linalo limwa na kuliwa kwa wingi ukilinganisha na mboga zingine. Na kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zao la nyanya ndio zao namba moja linaloweza kutoa pesa nyingi ukilinganisha na mazao mengine […] Read More