KILIMO BORA CHA VITUNGUU MAJI
UtanguliziVitunguu maji kwa kitaalamu hujulikana kama Allium cepa kwa kiingereza huitwa Bulb Onions.Vitunguu ni zao muhimu sana sio kwa matumizi ya ndani tu lakini pia ni zao la kibiashara linaloweza kukuletea kipato kikubwa. Vitunguu ni zao la bustani ambalo lipo kwenye kundi la mboga (vegetables). Zao hili ni maarufu kutokana na thamani ya virutubisho ilivyonavyo […] Read More
Recent Ads
Featured Ads
- Kiusa moshi