For a better experience please change your browser to CHROME, FIREFOX, OPERA or Internet Explorer.
Fursa YPARD Tanzania

Fursa YPARD Tanzania

http://ypard.net/user/register

Kama wewe ni kijana mwenye umri chini ya miaka 40 na ni mtaalamu wa kilimo au hujasomea kilimo ila unaamini kilimo ni ajira na unahisi unaweza kuwa na mchango mkubwa kwenye sekta ya kilimo, hasa kufanya vijana wenzako wapende kilimo. Naomba ujiunge na YPARD kwa kubonyeza hiyo link hapo juu na kisha fuata maelekezo. Baada ya kujiunga naomba unitafute WhatsApp inbox kwa No. 0744529070

YPARD is an international movement by Young Professionals FOR Young Professionals for Agricultural Development. YPARD operates as a network; it is not a formalized institution.
At the heart of YPARD as a movement are its members, who are encouraged to become active in their area, spread the news about YPARD to other young professionals, encourage a stronger voice of youth in their own organizations and share their views and ideas with other young professionals in the network.

This global on-line and off-line communication and discussion platform is meant to enable and empower young agricultural leaders around the world to shape sustainable food systems.

By Agronomist Peter
YPARD -TANZANIA REPRESENTATIVE

leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recent Ads
Tsh. 1,800 (Negotiable)
Tsh. 1,500 (Negotiable)
Tsh. 1,000 (Negotiable)
Tsh. 30,000 (Negotiable)
Featured Ads
Top
Translate »